MAHUBIRI YA SHEREHE YA UTATU MTAKATIFU MWAKA A WA KANISA: ATUKUZWE BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU, MUNGU AMBAYE YUPO, ALIYEKUWAKO, NA ATAKAYEKUJA MASOMO Somo I: Ex. 34: 4b-6, 8-9 Somo II: 2Cor. 13: 11-14 Injili: John/Jean 3: 16-18 SALA: Ee Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja, mwenye Upendo na Uzima, tunakuja mbele yako leo kukusifu na kukushukuru kwa ajili ya Uwepo wako katika Maisha yetu, basi tunakuomba uwajalie upendo, amani na masikilizano familia zote, ndoa zote na jamii zote ambayo zinaishi katika shida, vita, ungovi, wivu, migogoro na ubaguzi…tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo Mwanao anayeishi na kutawala nawe na Roho Mtakatifu, Mungu daima na milele. Amen. UTANGULIZI Wapendwa Taifa la Mungu: SHALOOM . Baada ya kusherekeya msimu mzima ya mafumbo ya wokovu wetu yaani Pasaka na pia baada ya kupokea Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste, leo Mama Kanisa utupa nafasi ya kumtukuza na kumshukuru Mungu ambaye kwa imani yetu ni Mmoja katika ...
MAHUBIRI YA SHEREHE YA PENTEKOSTE MWAKA A WAKANISA: ROHO MTAKATIFU HULITAKATIFUZA KANISA MASOMO Somo I : Acts 2:1-11 Somo II: 1Cor 12:3b-7, 12-13 Injili: John/Jean 20:19-23 SALA: Ee Mungu Baba Mwenyezi, kwa ushirika wa Yesu Mkombozi wetu na kwa uwepo na nguvu ya Roho Mtakatifu, Kanisa lako lilitakatifuzwa, basi ee Baba tunakuomba, utusaidie sisi viungo vya Kanisa lako kusudi tubaki waaminifu kwa kulishika Neno na Amri yako. Uwatakase na kuwalinda Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amen. UTANGULIZI Taifa la Mungu, SHALOOM: wapendwa leo tunao furaha ya kuhitimisha mahadhisho ya sherehe ya Pasaka ambalo kiliturgia leo tunahesabu siku 50 tangu tulipoanza kusherekea mafumbo ya wokovu wetu yaani: Kuteswa, Kufa, Kufufuka na Kupaa Mbinguni Bwana wetu Yesu: Ndio sababu leo ni Sherehe ya Pentekoste maana yake ni “ siku ya hamsini ”.(50 th ) Ni siku ya hamsini tangu tulipo sherehekea Jumapili ya Pasaka yaani Jumapili ya Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo: B...
MAHUBIRI YA DOMINIKA YA 13 YA MWAKA A WA KANISA WAKATI WA KAWAIDA: UKARIMU WAKO UTAKUFANYA WEWE UZIDI KUBARIKIWA NA MUNGU MASOMO SOMO I: 1Fal. 4:8-11, 14-16 SOMO II: 2Rom: 6:3-4, 8-11 INJILI: Mt. 10:37-42 SALA: Ee Baba yetu Mwema, ulituumba kwa sura na mfano wako kusudi tushiriki katika upendo na utukufu wako pia Mwanao Yesu Kristo Mungu na Mkombozi wetu kwa kufa na kufufuka kwake sisi tulijaliwa maisha mapya ambao kwa nguvu na msaada wa Roho Mtakatifu Kanisa inaendelea kuwakirimia watoto wake kwa njia ya sakramenti na huduma mbali mbali. Basi Ee Mungu wetu utusaidie kwanza kukupenda Wewe na Yesu Kristu kusudi tujifunze kuboresha upendo huu katika familia, taifa na dunia nzima hasa zaidi wakati huu ambao tunapambana na janga hii ya vimelea vya Corona. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amen. UTANGULIZI Wapendwa Taifa la Mungu SHALOOM, TUMSIFU YESU KRISTO : leo tunaadhimisha Dominika ya 13 ya Mwaka A wa Kanisa (Kanisa letu Katoliki) katika kipindi...
Commentaires